Kiriathaim
Anajulikana pia kama: Kirjathaim
31.5800, 35.7000 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Kiriathaim
Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu,
Kiriathaimu, Sibma, Sereth-Shahari juu ya kilima kilicho katika bonde,
Kuhusu Moabu: Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: “Ole wake Nebo, kwa maana utaharibiwa. Kiriathaimu utaaibishwa na kutekwa; Misgabu itaaibishwa na kuvunjavunjwa.
katika Kiriathaimu, Beth-Gamuli na Beth-Meoni,
kwa hiyo nitaiondoa ile miji iliyo kando ya Moabu, kuanzia miji iliyoko mipakani, yaani: Beth-Yeshimothi, Baal-Meoni na Kiriathaimu, iliyo utukufu wa nchi hiyo.