Caesarea Philippi
Anajulikana pia kama: Caesarea, Philippi
33.2400, 35.6900 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Caesarea Philippi
Basi Yesu alipofika katika eneo la Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake, “Watu husema kwamba mimi Mwana wa Adamu ni nani?”
Yesu na wanafunzi wake wakaondoka kwenda katika vijiji vya Kaisaria-Filipi. Walipokuwa njiani, Yesu akawauliza, “Watu husema mimi ni nani?”