Beeroth
Anajulikana pia kama: Beerothite
31.9000, 35.2100 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Beeroth
Ndipo wana wa Israeli wakasafiri na siku ya tatu wakafika kwenye miji yao ya Gibeoni, Kefira, Beerothi na Kiriath-Yearimu.
Gibeoni, Rama na Beerothi,
Basi mwana wa Sauli alikuwa na watu wawili waliokuwa viongozi wa vikundi vya uvamizi. Mmoja aliitwa Baana na mwingine Rekabu, waliokuwa wana wa Rimoni, Mbeerothi, kutoka kabila la Benyamini. Beerothi alihesabiwa kuwa sehemu ya Benyamini,
Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi, aliyekuwa mbeba silaha za Yoabu mwana wa Seruya;
wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743
watu wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743