Shupham
Anajulikana pia kama: Muppim, Shephuphan
Mistari inayomtaja Shupham
Wana wa Benyamini ni: Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi.
kutoka kwa Shufamu, ukoo wa Washufamu; kutoka kwa Hufamu, ukoo wa Wahufamu.
Gera, Shefufani na Huramu.