Rukia maudhui

Keturah

4 mistari · 7 wanafamilia

Mistari inayomtaja Keturah

  1. Abrahamu alioa mke mwingine, ambaye jina lake aliitwa Ketura.

  2. Wana wa Midiani walikuwa Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Hawa wote walikuwa uzao wa Ketura.

  3. Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa: Sheba na Dedani.

  4. Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura.