Rukia maudhui

Jokshan

3 mistari · 11 wanafamilia

Mistari inayomtaja Jokshan

  1. Huyu alimzalia Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua.

  2. Yokshani alikuwa baba wa Sheba na Dedani, wazao wa Dedani walikuwa Waashuri, Waletushi na Waleumi.

  3. Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa: Sheba na Dedani.