Skip to content

Gideoni

5 mistari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Gideoni

  1. kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni;

  2. Kabila la Benyamini litafuata baada ya Manase. Kiongozi wa watu wa Benyamini ni Abidani mwana wa Gideoni.

  3. Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa watu wa Benyamini, alileta sadaka yake.

  4. maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Abidani mwana wa Gideoni.

  5. naye Abidani mwana wa Gideoni alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Benyamini.