Skip to content

Er

6 mistari · 7 wanafamilia

Mistari inayomtaja Er

  1. akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri.

  2. Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aitwaye Tamari.

  3. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana akamuua.

  4. Wana wa Yuda ni: Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). Wana wa Peresi ni: Hesroni na Hamuli.

  5. Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.

  6. Wana wa Yuda walikuwa: Eri, Onani na Shela. Hawa watatu walizaliwa kwake na mkewe Mkanaani, binti wa Shua. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana alimuua.