Rukia maudhui

Ahaziah

26 mistari · 5 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Jehoahaz, Azariah

Mistari inayomtaja Ahaziah

Chuja kwa kitabu
  1. Yehoashi mfalme wa Israeli akamteka Amazia mfalme wa Yuda, mwana wa Yoashi, mwana wa Ahazia, huko Beth-Shemeshi. Kisha Yehoashi akamleta Yerusalemu na kuubomoa ukuta wa Yerusalemu kuanzia lango la Efraimu hadi Lango la Pembeni, sehemu yenye urefu wa kama dhiraa 400.