Rukia maudhui
Zaburi 71:5-8

Kusimama katika Tumaini na Kumtegemea Mungu Maishani

Zaburi 71:5-8
5
Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee Bwana Mwenyezi, tegemeo langu tangu ujana wangu.
6
Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, ulinitoa tumboni mwa mama yangu. Nitakusifu wewe daima.
7
Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara.
8
Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options