Skip to content
Mathayo 26:1-2

Pasaka na Kutangazwa kwa Kusalitiwa

Mathayo 26:1-2
1
Yesu alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake,
2
“Kama mnavyojua, baada ya siku mbili itakuwa Pasaka, naye Mwana wa Adamu atasalitiwa ili asulubiwe.”
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options