Skip to content
Mwanzo 43:2

Mwanzo 43:2

Inaonyesha mstari 2 pamoja na muktadha unaouzunguka.
1
Wakati huu njaa ilikuwa bado ni kali mno katika nchi.
2
Hivyo wakati walikuwa wamemaliza kula nafaka yote waliyoileta kutoka Misri, Yakobo baba yao akawaambia, “Rudini Misri mkatununulie chakula kingine zaidi.”
3
Lakini Yuda akamwambia, “Mtu yule alituonya kwa msisitizo, ‘Hamtauona uso wangu tena mpaka mje na ndugu yenu.’
4
Kama utakubali ndugu yetu aende pamoja nasi, tutakwenda kuwanunulia chakula.
5
Lakini ikiwa hutamruhusu aende, hatutakwenda, kwa sababu mtu yule alituambia, ‘Hamtauona uso wangu tena mpaka mje pamoja na ndugu yenu.’ ”
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 90 chars

Options