Rukia maudhui
2 Samweli 12:24-25

Kuzaliwa kwa Sulemani (Yedidia)

2 Samweli 12:24-25
24
Ndipo Daudi akamfariji Bathsheba mkewe, akaingia kwake akakutana naye kimwili. Akazaa mwana, wakamwita jina lake Solomoni. Bwana alimpenda Solomoni.
25
Kwa kuwa Bwana alimpenda, akatuma neno kwa Daudi kwa kinywa cha nabii Nathani kuwa mtoto aitwe Yedidia kwa ajili ya Bwana.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options