Rukia maudhui
1 Nyakati 10:13-14

Muhtasari wa kiteolojia wa mwandishi wa Mambo ya Nyakati

1 Nyakati 10:13-14
13
Sauli alikufa kwa sababu hakuwa mwaminifu kwa Bwana. Hakulishika neno la Bwana, hata akataka shauri kwa mwaguzi kwa ajili ya uongozi,
14
hakumuuliza Bwana. Kwa hiyo Bwana alimuua, na ufalme akampa Daudi mwana wa Yese.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options