Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Zephaniah

4 mistari · 3 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. mwana wa Elikana, mwana wa Yoeli, mwana wa Azaria, mwana wa Sefania,

  2. Neno la Bwana lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda:

  3. “Chukua fedha na dhahabu kutoka kwa watu waliohamishwa, yaani Heldai, Tobia na Yedaya ambao wamefika kutoka Babeli. Siku iyo hiyo nenda nyumbani kwa Yosia mwana wa Sefania.

  4. Taji itatolewa kwa Heldai, Tobia, Yedaya na Heni mwana wa Sefania kama kumbukumbu ndani ya Hekalu la Bwana.