Mistari ya Biblia kuhusu Zadok: 5. Son of Baana
Mistari kuhusu 5. Son of Baana
Meremothi mwana wa Uria, mwana wa Hakosi, alikarabati sehemu iliyofuatia. Baada yake Meshulamu mwana wa Berekia, mwana wa Meshezabeli, alifanya ukarabati na aliyemfuatia ni Sadoki mwana wa Baana.