Skip to content

Shallum

5 mistari · 2 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Meshullam

Mistari inayomtaja Shallum

  1. Ahitubu akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Shalumu,

  2. Shalumu akamzaa Hilkia, Hilkia akamzaa Azaria,

  3. Azaria mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu aliyekuwa afisa kiongozi wa nyumba ya Mungu.

  4. mwana wa Shalumu, mwana wa Sadoki, mwana wa Ahitubu,

  5. Seraya mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu, msimamizi katika nyumba ya Mungu,