Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Vail or Veil: Of the spiritual blindness of the Jewish nation

3 mistari · 9 vipengele

Mistari kuhusu Of the spiritual blindness of the Jewish nation

  1. Lakini akili zao zilipumbazwa, kwa maana mpaka leo utaji ule ule hufunika wakati Agano la Kale linasomwa. Huo utaji haujaondolewa, kwa maana ni katika Kristo peke yake unaondolewa.

  2. Hata leo Sheria ya Mose inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao.

  3. Lakini wakati wowote mtu anapomgeukia Bwana, utaji unaondolewa.