Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Uzza: 2. Proprietor of the burial place of Kings Manasseh and Amon

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu 2. Proprietor of the burial place of Kings Manasseh and Amon

  1. Manase akalala pamoja na baba zake na akazikwa katika bustani ya jumba lake la kifalme, katika bustani ya Uza. Naye Amoni mwanawe akawa mfalme baada yake.

  2. Akazikwa kwenye kaburi lake katika bustani ya Uza. Naye Yosia mwanawe akawa mfalme baada yake.