Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ulam: 2. Son of Eshek

2 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu 2. Son of Eshek

  1. Wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.

  2. Wana wa Ulamu walikuwa mashujaa hodari walioweza kutumia upinde. Alikuwa na wana wengi na wajukuu, jumla yao 150. Hawa wote ndio walikuwa wazao wa Benyamini.