Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Twins: Jacob and Esau

3 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu Jacob and Esau

  1. Wakati wake wa kujifungua ulipotimia, walikuwepo mapacha wa kiume tumboni mwake.

  2. Wa kwanza kuzaliwa alikuwa mwekundu, mwili wake wote ulikuwa kama mtu aliyevaa vazi lenye nywele; wakamwita jina lake Esau.

  3. Baadaye, ndugu yake akatoka, mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino; akaitwa jina lake Yakobo. Isaki alikuwa mwenye miaka sitini Rebeka alipowazaa.