Mistari ya Biblia kuhusu Treason: David's amnesty to Amasa
Mistari kuhusu David's amnesty to Amasa
Nanyi mwambieni Amasa, ‘Je, wewe si nyama yangu mwenyewe na damu yangu? Mungu na anishughulikie, tena kwa ukali, kama kuanzia sasa na kuendelea wewe si jemadari wa jeshi langu mahali pa Yoabu.’ ”