Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Trap

3 mistari

Mistari muhimu ya Biblia

  1. basi mwe na hakika kuwa Bwana Mungu wenu hatawafukuza tena mataifa hayo mbele yenu. Badala yake, watakuwa tanzi na mitego kwenu, mijeledi migongoni mwenu, na miiba machoni mwenu, mpaka mwangamie kutoka nchi hii nzuri, ambayo Bwana Mungu wenu amewapa.

  2. Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; mtego uko kwenye njia yake.

  3. “Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovu wanaovizia kama watu wanaotega ndege, na kama wale wanaoweka mitego kuwakamata watu.