Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Tongs

3 mistari

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi.

  2. “Watachukua kitambaa cha buluu na kufunika kinara cha taa kilicho kwa ajili ya nuru, pamoja na taa zake, mikasi yake, sinia zake, magudulia yake yote yaliyotumika kuwekea mafuta.

  3. vinara vya taa vya dhahabu safi (vitano upande wa kuume na vitano upande wa kushoto, mbele ya Patakatifu pa Patakatifu); kazi ya maua ya dhahabu na taa na makoleo;