Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Thunder: A token of divine anger

2 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu A token of divine anger

  1. Je, sasa si mavuno ya ngano? Nitamwomba Bwana ili alete ngurumo na mvua. Nanyi mtatambua jambo hili lilivyo baya mlilolifanya mbele za macho ya Bwana mlipoomba mfalme.”

  2. Kisha Samweli akamwomba Bwana, na siku ile ile Bwana akatuma ngurumo na mvua. Hivyo watu wote wakamwogopa sana Bwana na Samweli.