Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu The Lamb

3 mistari · 33 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Abrahamu akatenga kondoo wa kike saba kutoka kwenye kundi,

  2. Abimeleki akamuuliza Abrahamu, “Ni nini maana ya hawa kondoo wa kike saba uliowatenga peke yao?”

  3. Abrahamu akamjibu, “Upokee hawa kondoo wa kike saba kutoka mkononi mwangu kama ushahidi kuwa nilichimba kisima hiki.”