Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Judgment: Final punishment of the wicked will succeed

3 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Final punishment of the wicked will succeed

  1. “Kama vile magugu yangʼolewavyo na kuchomwa motoni, ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia.

  2. Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka Ufalme wake kila kitu kinachosababisha dhambi na watenda maovu wote.

  3. Nao watawatupa katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.