Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Inspiration of the Holy Spirit: Foretold

3 mistari · 16 vipengele

Mistari kuhusu Foretold

  1. La, hili ni jambo lililotabiriwa na nabii Yoeli, akisema:

  2. “ ‘Katika siku za mwisho, asema Mungu, nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili. Wana wenu na binti zenu watatabiri, vijana wenu wataona maono, na wazee wenu wataota ndoto.

  3. Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho wangu, nao watatabiri.