Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Feast of Sabbatical Year: Remission of debts

3 mistari · 13 vipengele

Mistari kuhusu Remission of debts

  1. Kila mwisho wa miaka saba ni lazima mfute madeni.

  2. Hivi ndivyo itakavyofanyika: Kila mkopeshaji atafuta mkopo aliomkopesha Mwisraeli mwenzake. Hatamtaka Mwisraeli mwenzake au ndugu yake amlipe hilo deni, kwa sababu wakati wa Bwana wa kufuta madeni umetangazwa.

  3. Unaweza kudai malipo kwa mgeni, lakini lazima ufute kila deni ambalo unamdai ndugu yako.