Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Stork

4 mistari · 4 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo.

  2. Humo ndege hufanya viota vyao, korongo ana nyumba yake kwenye msunobari.

  3. Hata korongo aliyeko angani anayajua majira yake yaliyoamriwa, nao njiwa, mbayuwayu na koikoi hufuata majira yao ya kurudi. Lakini watu wangu hawajui Bwana anachotaka kwao.

  4. Kisha nikatazama juu: na pale mbele yangu, walikuwepo wanawake wawili, wakiwa na upepo katika mabawa yao! Walikuwa na mabawa kama ya korongo, nao wakainua kile kikapu na kuruka nacho kati ya mbingu na nchi.