Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sower: Sowing

2 mistari · 3 vipengele

Tafuta "Sower"

Mistari kuhusu Sowing

  1. Yeyote atazamaye upepo hatapanda, yeyote aangaliaye mawingu hatavuna.

  2. Akiisha kusawazisha shamba, je, hatapanyi mbegu za bizari na kutawanya jira? Je, hapandi ngano katika sehemu yake, shayiri katika eneo lake, na nafaka nyingine katika shamba lake?