Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Shield

6 mistari · 5 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Uzia akalipatia jeshi lote ngao, mikuki, chapeo, dirii, pinde na mawe ya kombeo.

  2. kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara.

  3. Chukua ngao na kigao. Inuka unisaidie.

  4. Elamu analichukua podo, pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. Kiri anaifungua ngao.

  5. Nitakugeuza kuelekea ulikotoka na kukutia ndoana kwenye mataya yako na kukutoa nje wewe pamoja na jeshi lako lote, yaani, farasi wako, wapanda farasi wako waliojiandaa tayari kwa vita, pamoja na kundi kubwa la wajeuri wakiwa na ngao na vigao, wote wakipunga panga zao.

  6. Ngao za askari wake ni nyekundu, mashujaa wamevaa nguo nyekundu. Chuma kwenye magari ya vita chametameta, katika siku aliyoyaweka tayari, mikuki ya mierezi inametameta.