Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sheshan: A descendant of Jerahmeel.

3 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu A descendant of Jerahmeel.

  1. Apaimu akamzaa: Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. Sheshani akamzaa Alai.

  2. Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.

  3. Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai.