Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Sheshan

3 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Apaimu akamzaa: Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. Sheshani akamzaa Alai.

  2. Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.

  3. Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai.