Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Shekel: Sanctuary revenues paid in

2 mistari · 6 vipengele

Mistari kuhusu Sanctuary revenues paid in

  1. Kila mmoja anayekwenda upande wa wale waliokwisha hesabiwa atatoa nusu shekeli, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, ambayo ina uzito wa gera ishirini. Hii nusu shekeli ni sadaka kwa Bwana.

  2. “Tunakubali wajibu wa kutimiza amri za kutoa theluthi ya shekeli kila mwaka kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu: