Mistari ya Biblia kuhusu Shecaniah: 2. A priest of the time of Hezekiah
Mistari kuhusu 2. A priest of the time of Hezekiah
Edeni, Miniamini, Yeshua, Shemaya, Amaria na Shekania walimsaidia kwa uaminifu katika miji ya makuhani, wakiwagawia makuhani wenzao kufuatana na migawanyo yao, wazee kwa vijana sawasawa.