Mistari ya Biblia kuhusu Self-Will: The wicked cease not from
Mistari kuhusu The wicked cease not from
Lakini kila mara mwamuzi alipofariki, watu walirudia katika hali mbaya ya uovu zaidi kuliko baba zao, wakiifuata miungu mingine kuitumikia na kuiabudu. Walikataa kuacha matendo yao maovu na njia zao za ukaidi.