Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Seduction: General references

2 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu General references

  1. Miongoni mwao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu na kuwachukua mateka wanawake wajinga, waliolemewa na dhambi zao na kuyumbishwa na aina zote za tamaa mbaya.

  2. Lakini watu waovu na wadanganyaji watazidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika.