Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Samuel: Ministered in the house of God

3 mistari · 22 vipengele

Mistari kuhusu Ministered in the house of God

  1. Kisha Elikana akaenda nyumbani Rama, lakini mtoto akahudumu mbele za Bwana chini ya kuhani Eli.

  2. Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za Bwana, kijana akivaa kisibau cha kitani.

  3. Kila mwaka mama yake alimshonea joho dogo na kumchukulia wakati alipokwea pamoja na mumewe kutoa dhabihu ya mwaka.