Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Recreation

3 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Basi kwa kuwa watu wengi mno walikuwa wakija na kutoka, hata wakawa hawana nafasi ya kula, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni peke yetu mahali pa faragha, mpate kupumzika.”

  2. Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu.

  3. Ndipo Yesu akaondoka hapo akaenda sehemu za Tiro. Akaingia katika nyumba moja, naye hakutaka mtu yeyote ajue kwamba yuko humo. Lakini hakuweza kujificha.