Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Physiology: General references

5 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu General references

  1. ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa?

  2. Ninakusifu kwa sababu nimeumbwa kwa namna ya ajabu na ya kutisha; kazi zako ni za ajabu, ninajua hayo kikamilifu.

  3. Umbile langu halikufichika kwako, nilipoumbwa mahali pa siri. Nilipoungwa pamoja kwa ustadi katika vilindi vya nchi,

  4. macho yako yaliniona kabla mwili wangu haujakamilika. Siku zangu zote ulizonipangia ziliandikwa katika kitabu chako kabla haijakuwepo hata moja.

  5. Moyo wenye amani huupa mwili uzima, bali wivu huozesha mifupa.