Mistari ya Biblia kuhusu Pharaoh: 7. At the time of Hezekiah
Mistari kuhusu 7. At the time of Hezekiah
Tazama sasa, unaitegemea Misri, fimbo ile ya mwanzi uliopasuka, ambayo huuchoma na kuujeruhi mkono wa mtu akiiegemea! Hivyo ndivyo alivyo Farao mfalme wa Misri, kwa wote wanaomtegemea.