Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Phalti: Called also Phaltiel, son-in-law of Saul.

3 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu Called also Phaltiel, son-in-law of Saul.

  1. Lakini Sauli alikuwa amemwoza Mikali binti yake, aliyekuwa mkewe Daudi, kwa Palti mwana wa Laishi, kutoka Galimu.

  2. Kwa hiyo Ish-Boshethi akatoa amri kwamba Mikali achukuliwe kutoka kwa Paltieli mumewe, mwana wa Laishi.

  3. Hata hivyo, mumewe alikwenda pamoja naye, akilia nyuma ya mkewe njia yote hadi Bahurimu. Ndipo Abneri akamwambia Paltieli, “Rudi nyumbani!” Kwa hiyo akarudi.