Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Pekah: Is plotted against and slain by Hoshea

2 mistari · 6 vipengele

Mistari kuhusu Is plotted against and slain by Hoshea

  1. Kisha Hoshea mwana wa Ela akafanya shauri baya dhidi ya Peka mwana wa Remalia. Akamshambulia na kumuua, kisha akaingia mahali pake kuwa mfalme katika mwaka wa ishirini wa Yothamu mwana wa Uzia.

  2. Matukio mengine ya utawala wa Peka na yote aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli?