Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Onyx: Used in the breastplate

7 mistari · 6 vipengele

Mistari kuhusu Used in the breastplate

  1. “Chukua vito viwili vya shohamu, na uchore juu yake majina ya wana wa Israeli

  2. kufuatana na walivyozaliwa: majina sita katika kito kimoja, na mengine sita katika kito kingine.

  3. Yachore majina ya wana wa Israeli juu ya vito hivyo viwili kama vile sonara anavyochonga muhuri. Kisha uvitie vito hivyo katika vijalizo vya dhahabu,

  4. na uvifungie juu ya vipande vya mabega ya kisibau yawe kama vito vya ukumbusho kwa wana wa Israeli. Aroni atavaa majina hayo mabegani mwake kama kumbukumbu mbele za Bwana.

  5. na safu ya nne itakuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Yote yatiwe kwenye vijalizo vya dhahabu.

  6. Akatengeneza vito vya shohamu vilivyowekwa katika vijalizo vya dhahabu, navyo vilichorwa na majina ya wana wa Israeli kama vile muhuri huchorwa.

  7. katika safu ya nne ilikuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Vito hivyo vilitiwa kwenye vijalizo vya dhahabu.