Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Obligation: Acknowledgment of

4 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu Acknowledgment of

  1. Nimrudishie Bwana nini kwa wema wake wote alionitendea?

  2. Nitakiinua kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana.

  3. Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote.

  4. Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru na kuliita jina la Bwana.