Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Myra: A city of Lycia. Paul visits.

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu A city of Lycia. Paul visits.

  1. Baada ya sisi kuvuka bahari iliyoko upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira huko Likia.

  2. Huko yule kiongozi wa askari akapata meli ya Iskanderia ikielekea Italia, akatupandisha humo.