Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Miraculous Conception: By Elizabeth

4 mistari · 7 vipengele

Mistari kuhusu By Elizabeth

  1. Baada ya muda usio mrefu, Elizabeti mkewe akapata mimba, naye akajitenga kwa miezi mitano.

  2. Akasema, “Hili ndilo Bwana alilonitendea aliponiangalia kwa upendeleo na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.”

  3. Tazama, jamaa yako Elizabeti amechukua mimba katika uzee wake, na huu ni mwezi wake wa sita, yeye aliyeitwa tasa.

  4. Kwa maana kwa Mungu hakuna lisilowezekana.”