Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Minors: Legal status of

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu Legal status of

  1. Lile nisemalo ni kwamba wakati wote mrithi bado ni mtoto, hana tofauti na mtumwa, ingawa ndiye mmiliki wa mali yote.

  2. Yeye huwa yuko chini ya uangalizi wa walezi na wadhamini mpaka ufike wakati uliowekwa na baba yake.