Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Mikloth

4 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.

  2. Gedori, Ahio, Zekaria na Miklothi.

  3. Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.

  4. Msimamizi wa kikosi kwa mwezi wa pili alikuwa Dodai Mwahohi. Miklothi ndiye alikuwa kiongozi wa kikosi chake. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.